Mr Miller, Daby RRONDO cephalocaudo Madame S Asprin Nyani Ngabu Kiranga
Nawakubali sana huwa hamnichoshi.
[emoji1]Nimefunguka ukweli tu
Wewe kwenye kila thread lazima uandike ujinga ujinga?!Namkubali Mshana jr kwa sababu ni mtu anayenijua nje ndani kuanzia Jf mpaka ndani kabisa bila nguo.
Ohhhh my God!!!doh!! huyo nae hatari aisee, ila mimi pia Madame B kanifanya nijiunge nilikua nasoma tu nyuzi as guest uzi wake wa kuhojiwa ukanivutia zaidi nimechukua huu uamzi so siwezi mcheka jamaa.
GuDume nae anavistory story vya kuchangamsha japo kamba
Yaani wewe acha tu. Ila ndoto yangu ni kukuona live i hope siku moja itakua.
Nawe nakukubalii bina mama la mama[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Usijali.Yaani wewe acha tu. Ila ndoto yangu ni kukuona live i hope siku moja itakua.
Upewe maisha marefu Madam
Ahsante sana Madam nishakaribia.
[emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] wewe na warumi ndo mlinifanya nipigane kuingiaNawe nakukubalii bina mama la mama