Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Namkubali Mshana jr kwa sababu ni mtu anayenijua nje ndani kuanzia Jf mpaka ndani kabisa bila nguo.
Wewe kwenye kila thread lazima uandike ujinga ujinga?!
Huyo unayemkubali nadhani akili zenu zipo same level ndio maana unamkubali,uwe unasoma maudhui ya thd kwanza kabla ya kukurupuka hovyo kama chafya.
 
doh!! huyo nae hatari aisee, ila mimi pia Madame B kanifanya nijiunge nilikua nasoma tu nyuzi as guest uzi wake wa kuhojiwa ukanivutia zaidi nimechukua huu uamzi so siwezi mcheka jamaa.

GuDume nae anavistory story vya kuchangamsha japo kamba
Ohhhh my God!!!
Thank you dear Kylian D kwa kukufanya ujiunge humu.
20180729_171311.jpg
 
warumi
Alikuwa ana uwezo wa kuleta habari za gossip kwa mbwembwe ya hali ya juu,anaipamba habari,unarefresh ,unaenjoy na kusahau shida.Kimbembe akianza kuchambana...rudi binamu.

Max Melo Heshima nyingi juu yako.

Mama Sabrina
Akiacha ujinga kama nzi anaweza kutengeneza asali kama nyuki

Raynavero sababu haielezeki kwa maneno &

Sky Eclat ananifurahisha

paschal Mayalla
Akili yake na uwezo wake wa kupaambanua mambo,ucheshi na haiba yake.

al watan
Akili yake.Mitazamo wake na heshima yake kwa wengine.Huwezi kumkuta anachambana hata akichokozwa kiasi gani.Uhuru wa fikra na ujuzi wa mambo.
Nawakubali wengi ila hawa nimejiskia vema kuwataja
 
Back
Top Bottom