Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji122] shukrani my dear!!!I'm humbled!!!

Warumi tumemmis sanaa!

We luv u too
 
Mie niko tofauti kidogo na mleta mada.
Mie namdiss mkuda mmoja hivi humu Jf.
Ni dume ila ikifika usiku anakuwa jike.
Hana kazi ya maana zaidi ya kuita wadada wa Jf na kuanza kufuatilia maisha yao.

Kwanza dume zima unaanzaje kuulizia maisha ya mwanamke!!!....unataka kuwa shoga etu au!
Next time nakuvisha dera...sina pengine pa kusemea.
Nimekusema ila naona hujirekebishi.
Utakuja kuolewa bila mahari wala sare.
Najua unajijua, unajikuta Jay Z huko uliko.
Nakusindikiza nalo...nyau we!!!!
Koma kufuatilia maisha yangu.

Namba yangu ya simu huna...ila matatizo yangu unayo....kama sio uchawi ni nini!!!
Nyau we.
 
Pole nadhani atakua kaupata ujumbe. Anatuaibisha wanaume bhana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu ktk ubora wakoo!

Nani huyo ana tabia za kipugi pugi[emoji23] [emoji23]
Mods natania tuu
 
Ahahhahahaaaa akili ninazo nyingi sana tu
 
Tabia za mapugi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…