Kha!!!Ha..!msg yangu hujapata kaah
Usinifanyie hivyoHahahaha....watu mnapenda ubuyu.
Sijawahi ona aisee
Kha!!!
Kweli tena.
Itakuwa imeenda kwa Madame mwingine
Mkubwa, page ya nne hii simwoni Evelyn Salt kwa nini? Kuuliza si ujinga.Utamwambia?
Kolandoto, Old shinyanga.....hahahahahahaDeo anaitumikia Jamhuri ya Muungano sijui gereza gani.
lol.Wewe kwenye kila thread lazima uandike ujinga ujinga?!
Huyo unayemkubali nadhani akili zenu zipo same level ndio maana unamkubali,uwe unasoma maudhui ya thd kwanza kabla ya kukurupuka hovyo kama chafya.
dah nawaelewa watu kibao humu ndani pamoja na deo KISANDU,kwakuwa mama yangu alikuwa akimsifia kuwa ni mwanaharakati sana, nimesoma nyuzi zake, nimekubali.(wakubwa hawakosei)
Za Insta zinefanyiwa editing bana...Hahaha, kwa macho unafuatilia hata instagram mbona?
Loh jukwaa la ushirikina [emoji23] [emoji23] [emoji23]members wafuatao mi nadhani wapo unique wana leta burudani humu
jukwaa la siasa : paskalli , retired , mwiffa , cocochanel na salary slip
Intelligensia:Malcolm lumumba na the bold da vinci
jukwaa la ushirikina : mshana
na MMU ; Gudume + member wote
Nakukubali sana Rama liymo hujui tuMbona mi sitajwi [emoji15] nimtafute mshana anipe ndumba
Yuko maternity leave. Alijifungua mapacha kwa operesheni.Mkubwa, page ya nne hii simwoni Evelyn Salt kwa nini? Kuuliza si ujinga.
Nimeteuliwa kuwaapisha maDC wa jinsia pinzani.hahaaa wewe mzee itakuwa una stress za kutotajwa kwenye teuzi aisee
Kwa niaba yako wacha nimpe hongera nyingi kwa uzao na pole pia.Yuko maternity leave. Alijifungua mapacha kwa operesheni.
Bado Mimi hatujakutana[emoji2] [emoji2]Nimekutana na watu wema wengi sana ndani ya JF. Nawakubali Sana
hahahahahaaaaaHaloooooo
Eeeh. Kuna mmoja nilishaambiwa alishawahi niongelea nikahisi atakua huyo maana najua yeye ndo zake kweli japo haongei kwa ubayaHahaahaha....eti unamuhisi.
Ok....ila humu bhana, acha tu
Duuh nomaNamkubali Mshana jr kwa sababu ni mtu anayenijua nje ndani kuanzia Jf mpaka ndani kabisa bila nguo.
Namkubali Mshana jr kwa sababu ni mtu anayenijua nje ndani kuanzia Jf mpaka ndani kabisa bila nguo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]