Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Mie nilimsifia kwenye uzi flani mwaka juzi....akanipa ofa ya lunch na kinywaji pale New's Cafee....so, mmention tu mkuu, huenda mwaka huu ofa ikaangukia kwako.
Mie mwenyewe namkubali sana sometimes
[emoji23] ulienda ? Ngoja aje na mimi nikaonane na big business moguls le super billionaires @williammallecella
 
Mie nilimsifia kwenye uzi flani mwaka juzi....akanipa ofa ya lunch na kinywaji pale New's Cafee....so, mmention tu mkuu, huenda mwaka huu ofa ikaangukia kwako.
Mie mwenyewe namkubali sana sometimes
Wacha weee. Ukala lunch na le mbebez eeh. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe wanaume wa huku ni maskini kiasi hicho?Bora udate hata mbuzi kuliko wa humu basi kama hata pombe hawana uwezo wa kununua
Sio hawana hela ninaoweza nikanywa nao uwezo wangu wangu wa kunywa na nikawa na amani ndo hao watatu. Wengine story mbili tatu na chupa mbili tatu basi tunaishia hapo.
 
Humble acha kumpiku mshana maneno yako haya unaweza shangaa kaka yangu akapigwa kibuti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…