Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Mwana JF yupi unamkubali sana na kwanini unamkubali?

Mie nilimsifia kwenye uzi flani mwaka juzi....akanipa ofa ya lunch na kinywaji pale New's Cafee....so, mmention tu mkuu, huenda mwaka huu ofa ikaangukia kwako.
Mie mwenyewe namkubali sana sometimes
Wacha weee. Ukala lunch na le mbebez eeh. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe wanaume wa huku ni maskini kiasi hicho?Bora udate hata mbuzi kuliko wa humu basi kama hata pombe hawana uwezo wa kununua
Sio hawana hela ninaoweza nikanywa nao uwezo wangu wangu wa kunywa na nikawa na amani ndo hao watatu. Wengine story mbili tatu na chupa mbili tatu basi tunaishia hapo.
 
Demiss licha ya kuwa ni mtu anaespeak mind yake bila kujali chochote pia ni Mtu rahisi sana kuendana nae...yaani anyone can easily befriended with her.

Precisely, huwa anafanya research anaandaa list zake za boys ma HB humu JF sijawahi kukosa kwenye list yake... Thats not simple, That's noble respect anayonipa is priceless.

Anayajua mahaba na anapenda kwa dhati. Refers mshana Jr case na unguli alionae demiss kule kwa wakubwa.

Wewe Demiss ni mzuri, charming, and tender...achana na wale mademu pugi demu ana mikono migumu hadi akigusa Laptop inaandika "Found new hardware"...Ahahaha!! Demu ngozi ngumu hadi akikonyeza kulia na mguu wa kulia unanyanyuka kidogo. Ahahaha!

Keep the fire burning swry lady.

[emoji176]
Humble acha kumpiku mshana maneno yako haya unaweza shangaa kaka yangu akapigwa kibuti
 
Back
Top Bottom