Demiss licha ya kuwa ni mtu anaespeak mind yake bila kujali chochote pia ni Mtu rahisi sana kuendana nae...yaani anyone can easily befriended with her.
Precisely, huwa anafanya research anaandaa list zake za boys ma HB humu JF sijawahi kukosa kwenye list yake... Thats not simple, That's noble respect anayonipa is priceless.
Anayajua mahaba na anapenda kwa dhati. Refers mshana Jr case na unguli alionae demiss kule kwa wakubwa.
Wewe
Demiss ni mzuri, charming, and tender...achana na wale mademu pugi demu ana mikono migumu hadi akigusa Laptop inaandika "Found new hardware"...Ahahaha!! Demu ngozi ngumu hadi akikonyeza kulia na mguu wa kulia unanyanyuka kidogo. Ahahaha!
Keep the fire burning swry lady.
[emoji176]