Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abeee nduguMantiki ya mada imeachwa na kukimbiliwa unene sijui Nini na Nini!
Ukweli wengi wa wanawake ndio chanzo Cha michepuko kwenye ndoa na mahausiano.
Hata Kama mtu ume choka Kuna namna ya kumfikishia ujumbe ya kwamba umechoka au haujisikii.
Ndoa au mahusianao na ya namna hii hua hayakawii kuvunjika, mkisha kua single mnaanza oh mwana ume vile mwanaume hivi , Mara wanaume wote Ni mbwa !
Nawahakikishia wadada life style mlio nayo kipindi hiki sure kilio chenu au watoto wenu kitakua kikubwa mno!
Video aione pia ndugu Heaven Sent
Unataka mume wakati wengine walitoa bikraAiseh ni tamu wallah nitamnunulia mume wangu wallahi
Hii kibabe sana lazma watoke nduki humu🤩🤩🤩 af hapo mtu anadengua eti anataka mahari ya million 3Unataka mume wakati wengine walitoa bikra
Daaah kwa hiyo Huyo mume ana lipa LOBOLA (mahari) kumbe una chain ya vidume vimepiga hadi imetepetaView attachment 1765863
Acha uongo wewe matagaBao nyingi kuchafuana mama. Unaweza ukapigwa moja la kitaalam ukavaa mwenyewe.
Big Poppa
Wakulaumiwa ni mwanaume kuoa mtu ambaye sio bikraHii kibabe sana lazma watoke nduki humu[emoji2956][emoji2956][emoji2956] af hapo mtu anadengua eti anataka mahari ya million 3
😂😂😂Nadhani Kuna umri na umri,Sema wewe...yaani uanze nitishia mimi kweli? Khaa..hahaaa mie sijui nitishwe nini ndo nitishike aise🤣🤣!
Kuna yule mpumbavu alitaka mahari ya 500milionHii kibabe sana lazma watoke nduki humu[emoji2956][emoji2956][emoji2956] af hapo mtu anadengua eti anataka mahari ya million 3
Mi huyo!! Huu mkwara haushtui kabisa labda kwa watotoUmeanza Kudemka demka eeh 🤓🤓🤓
Nilikua naomba uangalie tu video then utupe maoni yako.Abeee ndugu
Huu ndio mfano halisi wa kile ambacho kinatokea ndani ya nyumba nyingi! Natumaini wa kujifunza mtajifunza jambo 🤩🤩🤩!!!
cariha Rebeca 83 Wangari Maathai Espy Karma Saint Anne financial services muite na wenzenu
Hana stress ,😅Hivi mtu anakuaje bonge hivyo aseee