Mwana-kulitafuta, mwana-kulipata: Namna ambavyo michepuko huchipua

Mi huyo!! Huu mkwara haushtui kabisa labda kwa watoto
Unless hujaelewa dhima ya video hio! Jamaa anachofanya sio mkwara ila tu amepotray hali halisi ya mtaani!

Wake zetu jinsi wanasumbua yani we ukitaka mzigo akianza tabia ya kusema amechoka inakuwa maumivu sana kwetu! Unaweza vumilia kunyimwa na mke ila ikifululiza it becomes makusudikalyπŸ€“ kwahio option inayobaki ni kwenda kujitafutia nje huko.

Ila baada ya sie kupata mchepuko nje unashangaa mke anaanza kuhaha sasa maana anapofanya ule mchezo wa ku deny sex anamake fun of you ama either ana cheat nje! Mwisho nawewe unaamua huangaiki nae unapooza rejeta nje huko kwa hawara...Ni tatizo ambalo chanzo ni mke kutowajibika ipasavyo katika nafasi yake sio kwamba wanaume tunataka sana michepuko! Mke anapoleta usumbufu kwenye huduma ndio anakupa tiketi ya kutoka nje!
 
Bebe huaminigi hili ila sio kila mwanaume anapenda kuhangaika hangaika ila unakuta mwanamke unayempenda na kumuoa analeta zengwe na mazoea ya kijinga kama huyo hapo! Siku 3 mfululizo ye amechoka tu wakati mume kuliko umwambie umechoka kila siku bora umpe amwage tu atulize funza wa kiunoni!

Trust me wanaume wanakuwaga malaya kisha wanaoa ili watulie sasa na wake zao! Ujinga huu ukijitokeza wanarudi mtaani kusaka saka vimwali mnaanza kulia lia! Mpe mtu mpaka achoke mwenyewe halafu ukimpa mtu mara nyingi anakuwa akusumbui baada ya muda flani! Ila ukibana bana unatoa kimoja tu kila siku ndio atataka maana hummalizi hamu!
 
Dah haya bana ila wanaume hamnaga formula kabisa nyie, je mnatuahidi nini tukiwapa yoote na mchepuka tukiwafuma tuwafanyajeπŸ˜€πŸ˜€
 
Mi nna usingizi bhana, story za kuchepuka saiv naweza nisisinzie😍😜😜
 
[emoji1][emoji1][emoji1]haki wanaume wanakufa kwa mengi.
Hapo nikibonge,awaze kutafuta mkate wa familia,bado kupiga game kunamsubiri,[emoji30][emoji30].

Joanah eti jasho ndo nzima [emoji1]
Sio kwamba nyie mnachangia kuwauwa?
 
Dah haya bana ila wanaume hamnaga formula kabisa nyie, je mnatuahidi nini tukiwapa yoote na mchepuka tukiwafuma tuwafanyajeπŸ˜€πŸ˜€
Mtupe zaidi jamaniπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ dawa ya moto ni moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…