Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Wametumwa na Allah wanataka kumuua huku wanaimba Allah AkbaruHao watu wana shida gani? Wanataka wachafue mji mtakatifu wa maca kwa kumuua kiongozi wa nchi hiyo?
Nani alikwambia ukitaka usife unatakiwa ulindwe ma marekani au israeli?Watajuta hao waliotaka kumuua, anajua ana maadui wengi sana ndio maana anashirikiana na USA na Israel kwa ulinzi zaidi.
Kwahiyo ukilindwa na hao uliowataja ndio maadui zako watakukosa? hao wenyewe ulio wataja ni wahanga pia na hawawezi kujilinda wao wenyewe na kila kitu in 100%Watajuta hao waliotaka kumuua, anajua ana maadui wengi sana ndio maana anashirikiana na USA na Israel kwa ulinzi zaidi.
Akufe tu.Jaribio la kumuondoa uhai limefanyika jana. Na mpaka sasa hakuna report yeyote official ya kinachoendelea iliyotolewa na ufalme wa Saudi Arabia. Saudi Arabia imekua ni mshirika mkubwa wa Marekani na israeli katika siku za hivi karibuni hasa kwenye mgogoro huu wa Palestine na Israel. Kijana Mohamed Salman anaonekana kutaka kuleta mageuzi ndani ya nchi hiyo ya kiislamu huwenda ikawa ni sababu ya wanaopinga utawala kuamua kuchukua jukumu la la kutaka kumuua.
View attachment 2983068
Ni mtu wa ......... huyo maana ndio michezo yao hii kuuana ili kurithi icho kiti cha ufalmeMwana mfalme awasamehe tu kwani hawajui walitemdalo
Kama hulikua hujui marekan ndo waliomweka kuwa mfalme nje ya utaratibuNani alikwambia ukitaka usife unatakiwa ulindwe ma marekani au israeli?
Marekani wakati wa trump ndo waliomuwekaKwahiyo ukilindwa na hao uliowataja ndio maadui zako watakukosa? hao wenyewe ulio wataja ni wahanga pia na hawawezi kujilinda wao wenyewe na kila kitu in 100%
Kwahiyo wote wasiolindwa na hao uliowataja wao hawana maadui wengi? hao uliowataja ndio maadui wenyewe sasa kama ulikua hujui.
Hao waliotaka kufanya hayo mauaji hua wapo tayari kwa jambo lolote lile,ni sawa na wanaotaka kupindua nchi wanajua kua kama wasipofanikiwa hukumu hua ni nini.Yatatembea Majambia Hapo Hawataamini.
Ni wale prince ambao kiutaratibu wao ndo wako eligible kuwa wa-falme na wale wenye misimamo mikali ya wahhabi waopinga mabadiliko anayoyafanyaHao waliotaka kufanya hayo mauaji hua wapo tayari kwa jambo lolote lile,ni sawa na wanaotaka kupindua nchi wanajua kua kama wasipofanikiwa hukumu hua ni nini.
Tuletee ushahidi hatuamini stori za kwenye vijiwe vya kahawa sisiKama hulikua hujui marekan ndo waliomweka kuwa mfalme nje ya utaratibu
Kama na hili hujui pole sanaTuletee ushahidi hatuamini stori za kwenye vijiwe vya kahawa sisi