Mwana mfalme wa Saudi Arabia Mohamed Salman anusuruka Kuuawa huko Riyadh

Mwana mfalme wa Saudi Arabia Mohamed Salman anusuruka Kuuawa huko Riyadh

Dogo jikite kwenye mada. Acha kubwabwaja uharo jamvini.

Nyani haoni kundule

ujinga wa waafrika.jpeg
 
Hao watu wana shida gani? Wanataka wachafue mji mtakatifu wa maca kwa kumuua kiongozi wa nchi hiyo?
huyo kiongozi ni muuaji,alishauchafua huo mji mtakatifu kwa kumuua mwandishi wa habari Jamal Khashoggi...naunga mkono jaribio la kuuliwa kwake
 
Back
Top Bottom