Mwana mfalme wa Saudi Arabia Mohamed Salman anusuruka Kuuawa huko Riyadh

R.I.P Jamal khashoggi!!!
 
Ufalme wa saudia wote sio watawala halali wa hilo eneo,,,,walipewa kwa sababu walikua chawa wa wazungu enzi za kupambana na Otoman, hao jamaa walishirikiana na mabepari , na ndo maana ili waendelee kutawala hilo eneo lazima wawalambe miguu wazungu
Kwani huo ukoo wa kifalme wa Saud Arabia ni generation ya mtume Mohamad?
 
Hii ni habari njema lakini inaonekana imefanywa siri sana.Cnn na wenzao hawajatamka lolote.
 
Hao prince ndio wanaomuwinda wamuue sasa
 
Hatari kweli kweli.....
 
Ilikuwa ajali au ahuambulio la risasi?
 
Namkumbuka marehemu Jamal Khashogi. Kuna watu hawaogopi kucheza na black mamba. Hadi leo mwili wa jamali haujapatikana pamoja na kwamba mambo hayo yalitendeka ubalozini sembuse ndani ya Saudia kwenyewe. Hao jamaa watageuzwa kuwa maji na wataenda kuyamwaga mchana kama maji taka.
 
Muuaji katukosea sana ilitakia asikose shabaha
 
Hii habari haina ukweli wowote
 
Hata hivyo ni miracle 21st Century kuendelea kuwa na Absolute Monarchs..., Ndio maana zimebaki chache Brunei, Bahrain, Jordan, Kuwait, Oman, Qatar, Saudi Arabia, na United Arab Emirates.., kwahio nadhani hatari kwa hii aina ya Utawala wala sio maadui pekee bali ni muda (wanapitwa na wakati)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…