Uchaguzi 2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

Uchaguzi 2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Habari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.

Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi CHADEMA.
 
Habari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.

Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi.
 
hata kama ni mimi sikupi hata hizo tano, maana malengo yako hayakuwa udiwani, malengo ya udiwani ni maleko kurupuko. huwezi kumkabidhi kata mtu wa namna huko. Akiwa anafanya kazi akiona wenzake kule wanaendesha maV8 presha inashuka huku wananchi tunakosa huduma zake.

akalime tu
 
Ni kama nilivyoeleza hapo juu naona mwamba karudisha mpira kwa kipa

CCM inawenyewe kama ni kujifunza siku nyingine hata apewe kitu gani hawezi kukubali tena

Pole kwa wote waliotia nia wakaambulia namba za viatu

Lijualikali katia nia kwenye Udiwani na kupata kura 5 hii ni hatari

Wakuu au kilimo cha nn kinabamba Kilombero? 🤣🤣🤣
Screenshot_20200802-134805.jpg
 
Back
Top Bottom