Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
😆😆😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana wajumbe wa kilombero.Breaking news
Baada ya kupigwa spana 5 na wajumbe wa ccm, akaamua atupie karata kwenye udiwani, akidhani wajumbe ni malofa.
Jana wamempiga za uso akapata kura 2 , sijui kama yupo salama huko.
View attachment 1524820
Asubiri lijualikipoa atapata tu.Breaking news
Baada ya kupigwa spana 5 na wajumbe wa ccm, akaamua atupie karata kwenye udiwani, akidhani wajumbe ni malofa.
Jana wamempiga za uso akapata kura 2 , sijui kama yupo salama huko.
View attachment 1524820
Tano tena! Tuliambiwa kura mbili.Habari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.
Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa ccm na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi
Duu kweli kalogwa vibayaHabari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.
Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa ccm na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi
Chadema hawawezi hata siku moja kushinda kwa mbereko wa NEC wao hushinda kwa upendo wa wananchi wanaichukia CCM ndiyo sababu nguvu kubwa ya dola hutumika kila wakati uchaguzi unapofika.Kina Lijualikali, Mtolea nk walishinda Ubunge kwa sababu ya kampeni za mafuriko.. Lowasa aliwaomba wananchi wamchagulie wabunge.. Hawa jamaa hawakushinda kwa sababu ya sera au kuwa popular.. Hata wangebaki upinzani, this time wasingeshinda ng'oo.. Bora wabaki CCM wanaweza wakakumbukwa kwenye teuzi nyingine.
Wamempa kazi ya kudeki vyoo pale Lumumba ameona hataweza mzee baba.Huyu si aliomba kufagia lumumba
Hizo milioni 250 za kiinua mgongo akanunue boda boda kama alivyosema...yaani unatoka ubunge kurudi udiwani wakati wenzake wanatoka udiwani kwenda ubunge,huyu ndio kaweka historia kutoka ubunge hadi kugombea udiwani.Habari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.
Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa ccm na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi
tulisema huyo kaisha potea kisiasa na ndo basi tenaHabari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.
Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa ccm na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi
Alikuwa akitarajia akiwa diwani, atapata nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri.Hii ni kweli? Mbona amejipa demotion mwenyewe? Kama kuna mtu kamshauri amemshauri fyongo. Yaani kutoka ubunge, kufightia ubunge kisha kufightia udiwani.
Ila hao wajumbe ni hatari
Ya kweli haya?