Uchaguzi 2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

Kina Lijualikali, Mtolea nk walishinda Ubunge kwa sababu ya kampeni za mafuriko. Lowasa aliwaomba wananchi wamchagulie wabunge. Hawa jamaa hawakushinda kwa sababu ya sera au kuwa popular. Hata wangebaki upinzani, this time wasingeshinda ng'oo. Bora wabaki CCM wanaweza wakakumbukwa kwenye teuzi nyingine.
 
Breaking news

Baada ya kupigwa spana 5 na wajumbe wa ccm, akaamua atupie karata kwenye udiwani, akidhani wajumbe ni malofa.

Jana wamempiga za uso akapata kura 2 , sijui kama yupo salama huko.

20200510_214924.jpeg
 
Habari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.

Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa ccm na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi
Tano tena! Tuliambiwa kura mbili.
 
Habari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.

Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa ccm na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi
Duu kweli kalogwa vibaya
 
Kina Lijualikali, Mtolea nk walishinda Ubunge kwa sababu ya kampeni za mafuriko.. Lowasa aliwaomba wananchi wamchagulie wabunge.. Hawa jamaa hawakushinda kwa sababu ya sera au kuwa popular.. Hata wangebaki upinzani, this time wasingeshinda ng'oo.. Bora wabaki CCM wanaweza wakakumbukwa kwenye teuzi nyingine.
Chadema hawawezi hata siku moja kushinda kwa mbereko wa NEC wao hushinda kwa upendo wa wananchi wanaichukia CCM ndiyo sababu nguvu kubwa ya dola hutumika kila wakati uchaguzi unapofika.
 
Habari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.

Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa ccm na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi
Hizo milioni 250 za kiinua mgongo akanunue boda boda kama alivyosema...yaani unatoka ubunge kurudi udiwani wakati wenzake wanatoka udiwani kwenda ubunge,huyu ndio kaweka historia kutoka ubunge hadi kugombea udiwani.
 
Habari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.

Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa ccm na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi
tulisema huyo kaisha potea kisiasa na ndo basi tena
 
Hii ni kweli? Mbona amejipa demotion mwenyewe? Kama kuna mtu kamshauri amemshauri fyongo. Yaani kutoka ubunge, kufightia ubunge kisha kufightia udiwani.

Ila hao wajumbe ni hatari
Alikuwa akitarajia akiwa diwani, atapata nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom