Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Kilichomtoa ni kitu kidogo sana. Aliona kuacha Posho za siku 14 za kukaa karantini ni kosa kubwa sana, akheri agombane na Viongozi wake kuliko kuachia hizo Posho.Tamaa mbaya sana. Nini kilimtoa akipokuwa na alijua kuwa yupo kimasilahi.....
Ni ulivi tu ndio umemponzaKilichomtoa ni kitu kidogo sana. Aliona kuacha Posho za siku 14 za kukaa karantini ni kosa kubwa sana, akheri agombane na Viongozi wake kuliko kuachia hizo Posho.