Uchaguzi 2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

Sipika atampa kibarua cha kumwagilia mchicha
 
Acha Uongo, kwa utaratibu wa CCM Mtu mmoja hawezi kugombea nafasi mbili kwa wakati mmoja. Na atakayepitishwa ni Lijualika maana ndiye anayekubalika kwa Wananchi.
 
Teuzi zipi? Condom hua haitumiki zaidi ya mara moja hao sasa hivi ni garbage wametumika imeisha
 
Laana ya usaliti na mbwembwe zote zile.... Lazima apate msongo wa mawazo....
Lazima atashuka sana kwasababu marafiki zake wote aliowapata kupitia siasa wanamuona ni msaliti. Chama kilichokulea na kukufanya ujulikane unakisaliti kwasababu ya posho na maneno mengi ya kejeli?
Afurahie hali yake sasa
 
Asipokelewe CDM msaliti huyu.
 
Bado huyo anaejita godwin molel yaani chadema wamuweke mtu saf asirudi mjengoni huyo mbwaa
 
Ikiwa ni kweli, ni jambo jema hilo.

Liwe funzo kwake na kwa wengine wenye au ambao wanataka kuwa na tabia kama ya kwake.


JESUS IS LORD.
 
Sas mtu ana milion mia tatu plus atatangatanga vip cc ndio tutatangatanga.
Jitahidi kumliwaza, ila sasa hivi kwenye siasa haaminiki, hauziki, atahangaika sana. Muongoze kungine kabla hazijaisha.
 
Hii ni kweli? Mbona amejipa demotion mwenyewe? Kama kuna mtu kamshauri amemshauri fyongo. Yaani kutoka ubunge, kufightia ubunge kisha kufightia udiwani.

Ila hao wajumbe ni hatari
Mkuu wajumbe ni zaid ya madalali maana anakuambia vyumba vipo ata nyumba yenyewe ajaiona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuwasaliti wapiga kura uliowaomba kura mwenyewe ni doa kubwa sana katika siasa.

Apigwe tu, maana hamna jinsi.
 
Huu mwaka CCM ilitakiwa itoe fundisho kwa wanachama wake wanaokosa uvumilivu na uzalendo.

Kama mtu alituacha mtoni mwaka 2015 hata kama alijirudi kwa kuunga mkono juhudi anatakiwa apumzishwe kwa miaka 5 ili tujiridhishe kama ni kweli ni mwenzetu.

Hongera Tatamadiba shughuli yako tumeiona huko Kilombero, jamaa akataka kurudia kibarua chake cha udiwani nako mkampa za uso......ni noma!

Maendeleo hayana vyama!
 
usajili wetu wa nguvu huo, kamati kuu inakwenda kupindua meza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…