Uchaguzi 2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

Uchaguzi 2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

Kina Lijualikali, Mtolea nk walishinda Ubunge kwa sababu ya kampeni za mafuriko. Lowasa aliwaomba wananchi wamchagulie wabunge. Hawa jamaa hawakushinda kwa sababu ya sera au kuwa popular. Hata wangebaki upinzani, this time wasingeshinda ng'oo. Bora wabaki CCM wanaweza wakakumbukwa kwenye teuzi nyingine.
Haukujua kwamba mwaka huu kuna mafuriko ya Tundu Lissu, amechanga karata vibaya
 
Huwezi kuwasaliti wananchi wako waliokupigania mwaka 2015 kwa kukesha siku mbili usiku na mchana ofisi za Kilombero DC kuhakikisha unatangazwa mbunge kwa tiketi ya CHADEMA halafu ukakimbilia kwenye chama - CCM kilichowatesa na kuwaumiza watu haohao....

Eti bila hata aibu jamaa anakwenda kwa wananchi walewale kupitia mlango wa nyuma (wa wizi) unataka wakuchague uwe mbunge wao....

Duuh, huyu jamaa anadhani wananchi hao wana aikili matope za kiwango chake bila shaka. Inafurahisha kwamba, hata hao wanaCCM wameona Utopolo wa mtu huyu....

Wangejichanganya tu kujifanya wanampitisha, wangewapa CHADEMA "green light" kulichukua jumbo tena mwaka huu bila jasho. Angeiona hasira halisi za wananchi - NGUVU YA UMMA....!
 
Huyu Lijualikali si ndiye aliyesababisha TAKUKURU wakachunguze matumizi ya fedha za makato ya posho/ mishahara ya Wabunge kwa ajili ya shughuli za Chadema?
Hivi TAKUKURU walishatoa matokeo ya uchunguzi wa matumizi mabaya ya fedha wabunge wa Chedema?
 
Habari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.

Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa ccm na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi
Nyuzi hii imenikuta Niko msibani ningejipongeza Leo 🍹dadek...yaan mbunge ambaye wanachadema hawatamsamehe ni huyu kifaruhande..shenzy typ
Safiii akaendeshe Boda huko😣😣
 
Duh nimekumbuka andiko la pasco mayalla karma.Nilimshangaa sana Lijualikali namna alivyokosa ustaharabu wa kiwango cha kutisha.
Alikitukana chama kilichomtoa mbali hadi kumfikisha kujulikana Tanzania yote,vijana wa siku hizi bado sana.

Lijualikali alistahili kukataliwa na wajumbe,wamempatia alichostahili.
 
Wajumbe safi sana 😂😂😂😂, kigamboni Oyeeeeee
Nalog off
 
Attachments

  • IMG_20200728_084555.jpg
    IMG_20200728_084555.jpg
    71.2 KB · Views: 1
Habari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.

Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa ccm na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi
Anyooke.
 
Habari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.

Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi.
Sijui nani alimshauri! Hivi ni darasa la ngapi?
 
Back
Top Bottom