BM33
Member
- Apr 19, 2020
- 61
- 60
Haukujua kwamba mwaka huu kuna mafuriko ya Tundu Lissu, amechanga karata vibayaKina Lijualikali, Mtolea nk walishinda Ubunge kwa sababu ya kampeni za mafuriko. Lowasa aliwaomba wananchi wamchagulie wabunge. Hawa jamaa hawakushinda kwa sababu ya sera au kuwa popular. Hata wangebaki upinzani, this time wasingeshinda ng'oo. Bora wabaki CCM wanaweza wakakumbukwa kwenye teuzi nyingine.