Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 May 6, 2024 #21 Mudawote said: Yes, 2020 ni viongozi hawa hawa walisema uchaguzi ulikuwa fair. Wanapokili madhara yake ni makubwa sana Click to expand... Kwani waliposema ndio waliaminika, au mnadhani Bado Kuna wajinga wa kuamini viongozi majizi? Magufuli ndio alikuwa haaminiki kabisa, maana ana historia ya kupika data. Wanakiri Sasa maana wanajua hakuna asiyefahamu upuuzi ule.
Mudawote said: Yes, 2020 ni viongozi hawa hawa walisema uchaguzi ulikuwa fair. Wanapokili madhara yake ni makubwa sana Click to expand... Kwani waliposema ndio waliaminika, au mnadhani Bado Kuna wajinga wa kuamini viongozi majizi? Magufuli ndio alikuwa haaminiki kabisa, maana ana historia ya kupika data. Wanakiri Sasa maana wanajua hakuna asiyefahamu upuuzi ule.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 May 6, 2024 Thread starter #22 Benjamini Netanyahu said: Kwani ni kosa? Click to expand... Godbless Lema anamkataza πΌ
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 May 6, 2024 #23 johnthebaptist said: Godbless Lema anamkataza πΌ Click to expand... Alimnukuu
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 May 6, 2024 Thread starter #24 Benjamini Netanyahu said: Alimnukuu Click to expand... Alimnukuu Ili iwe nini ilhali yale maongezi waliongelea Bar? ππ
Benjamini Netanyahu said: Alimnukuu Click to expand... Alimnukuu Ili iwe nini ilhali yale maongezi waliongelea Bar? ππ
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 May 6, 2024 #25 johnthebaptist said: Alimnukuu Ili iwe nini ilhali yale maongezi waliongelea Bar? ππ Click to expand... Wewe ulikuwepo?
johnthebaptist said: Alimnukuu Ili iwe nini ilhali yale maongezi waliongelea Bar? ππ Click to expand... Wewe ulikuwepo?
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 May 6, 2024 Thread starter #26 Benjamini Netanyahu said: Wewe ulikuwepo? Click to expand... Mchungaji Msigwa alikuwepo hapo Bar ππππ
Benjamini Netanyahu said: Wewe ulikuwepo? Click to expand... Mchungaji Msigwa alikuwepo hapo Bar ππππ
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 May 6, 2024 #27 johnthebaptist said: Mchungaji Msigwa alikuwepo hapo Bar ππππ Click to expand... UWT jitafakarini
johnthebaptist said: Mchungaji Msigwa alikuwepo hapo Bar ππππ Click to expand... UWT jitafakarini
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,057 Reaction score 41,992 May 6, 2024 #28 johnthebaptist said: Ni Mwanaccm asilia Click to expand... π