Mwanachama Bora Jamiiforums 2022

Mzee Hongera sana.

Ni wakati sasa wa Kubadili 'Avatar' yako. Ile kampeni ya Cocacola mwaka 2015/16 ya kuandika majina kwenye vibebeo vyao (take aways) ilikubamba barabara.

Naomba kujua kama kuna uzi wowote uliwahi kuandika kuhusu Hayati Sokoine.
 
Ila ungebadili kidogo.

Umeshinda kama Mwanachama Bora wa Jukwaa la Historia.

Story of Change ilikuwa kitengo cha kutafuta andiko bora kwa mwaka tajwa.

Kifungashio walichokuwekea zawadi zako kisikuchanganye.
 
Mzee Hongera sana.

Ni wakati sasa wa Kubadili 'Avatar' yako. Ile kampeni ya Cocacola mwaka 2015/16 ya kuandika majina kwenye vibebeo vyao (take aways) ilikubamba barabara.

Naomba kujua kama kuna uzi wowote uliwahi kuandika kuhusu Hayati Sokoine.
Dr. Restart,
Katika miaka ya 1970 wakati wa Nguvu Kazi ya Edward Sokoine walimu wa madras waliorodheshwa kama watu wasio na kazi.

Nataka nikufahamishe kuwa mimi nilimwandikia barua Waziri Mkuu Edward Soloine na kumfahamisha kuwa hilo ni kosa hatutafunga madras zetu kwa hiyo Nguvu Ngazi.

Nakumbuka katika barua yangu nilimtaja Rashid Kawawa na kuomba asaidie kuileza historia za madras katika Tanganyika.

Barua yangu ilijibiwa na Ofisi ya TANU Lumumba wakiniomba nifike ofisini kwao ili wanieleweshe.

Jibu nililowarejeshea lilikuwa wa kuelimishwa si mimi bali ni Waislam ndiyo waelezwe tatizo liko wapi.

Sikupata jibu lakini madras zikaendelea hadi hii leo na hakuna mwalimu yeyote wa madras alikamatwa katika operesheni ya Nguvu Kazi.

Nitajaribu kuingia Maktaba kuangalia wapi nimemtaja marehemu Sokoine.

KIJEMBE KUTOKA JF: SIJAMUADHIMISHA SOKOINE KWA KUWA SI MUISLAM​

Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania April 12, 2016 0



Moringe Sokoine


Kituko said:
Hivi Mkuu Mohamed Said, alishawahi kumwandikia wasifu wake huyu?( EMS) Au sio wa upande wetu huyu!
Kituko,
Hunijui na hujanisoma na ndiyo maana unakuja na fikra kuwa mimi
hutafiti Waislam tu na kuandika habari zao.

Sokoine mimi nimemwandika kwa kupita tu yumo kwenye mswada
wangu, ''Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in
Tanzania.''

Kwa sasa hii ni ''mimeo,'' inapatikana Zentrum Moderner Orient (ZMO)
Berlin, Germany.
 
Hongera mkuu.
 
Nikiri wazi mzee Mohammed Said, wewe ni mmoja ya member mlionifanya nijue mengi sana, napendwa na watu kazini, marafiki, vijiweni kutokana na facts ninazowapa ambazo nyingi natoa humu na zako unazoandikaga zikiwemo.
 
Nikiri wazi mzee Mohammed Said,ww ni mmoja ya member mlionifanya nijue mengi sana,napendwa na watu kazini,marafiki,vijiweni kutokana na facts ninazowapa ambazo nyingi natoa humu na zako unazoandikaga zikiwemo
Tad...
Nashukuru sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…