Mwanachama Bora Jamiiforums 2022

Ila ungebadili kidogo.

Umeshinda kama Mwanachama Bora wa Jukwaa la Historia.

Story of Change ilikuwa kitengo cha kutafuta andiko bora kwa mwaka tajwa.

Kifungashio walichokuwekea zawadi zako kisikuchanganye.
Dr. Restart,
Naona hii ''Stories of Change'' kwenye heading huenda ikababaisha wasomaji.
Taarifa inasema, ''Hongera kwa kuwa mwanachama bora wa 2022.''

''Jukwaa la Historia'' halikutajwa.
Nadhani hii ''Stories of Change'' itawababaisha wasomaji.

Heading ingekuwa, ''Mwanachama Bora wa 2022.''
Nakushukuru.
 
Ingawa unapitia changamoto moto nyingi kwenye uandishi wako ulio jaa ukweli hongera sana Mohamed Said
 
Hongera sana@Mohamed Said hakika unastaili...Mada zako binafsi nikizisoma naongeza kitu kipya kwenye ubongo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…