TANZIA Mwanachama mkongwe wa Yanga Ibrahim Akilinali afariki dunia

TANZIA Mwanachama mkongwe wa Yanga Ibrahim Akilinali afariki dunia

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,120
Reaction score
24,667
Mwanachama mkongwe wa Klabu ya mpira wa miguu ya Yanga Mzee Ibrahim Akilimali amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Bagamoyo

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...!!

B536EA20-9081-4004-8FE2-825A657248B7.jpeg
 
Mwanachama mkongwe wa club ya mpira wa miguu ya Yanga Mzee Ibrahim Akilimali amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Bagamoyo
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Poleni kwa familia,Pumzika Mzee Akilimali Mwendo Umeumaliza.
 
RIP shabiki lia lia na mwanachama kindakindaki wa Gongo wazi fc.
 
Back
Top Bottom