TANZIA Mwanachama mkongwe wa Yanga Ibrahim Akilinali afariki dunia

TANZIA Mwanachama mkongwe wa Yanga Ibrahim Akilinali afariki dunia

Ooh! poleni sana Familia, Ibarahim Akilimali upate pumziko la Amani ulale katika Udongo mzuri.
 
haya baba Idd amini alikuwa mwwma kweli kweli,aliwapenda waganda kama bro and sisters.
N.b.sisi huku ndio yatupasa sasa tuwaombee marehemu ili wasamehewe,maana hali waliyo nayo huwa hawawezi tena kujioombea.
Stories za idd Amin propaganda
 
“Yanga ni kubwa sana na haiwezi kukodishwa kama masufuria ya kwenda msibani na mimi na wazee wa kamati kwa pamoja tunasema hatukubaliani na jambo hilo kwa asilimia mia” Ibarahim Akilimali

Misimamo yetu huendelea kuishi hata baada ya uhai wetu. Pumzika kwa Amani Ibrahim Akilimali.
 
Back
Top Bottom