TANZIA Mwanachama mkongwe wa Yanga Ibrahim Akilinali afariki dunia

TANZIA Mwanachama mkongwe wa Yanga Ibrahim Akilinali afariki dunia

Mzeee wetu kapumzike maaana aibu ya Goli tano za tarehe 04 January hutaiona tena najua ingekuuuma sana.
Pumzika Comred
 
yule mzee kilomoni kama bado hajarudisha nyaraka za club wafanye haraka kuzichukua hata ikibi nguvu itumike

Rest in peace mzee akilimali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee ulichangamsha tasnia. Upumzike kwa amani
 
RIP mzee akilimali kila mtu ataonja umauti,

Ushauri kwa wazee,umri ukishaenda ni vema ukaachana na purukushani za dunia mambo kama ya mpira,siasa n,k.ni kurejea tu kwa mola wako tu basi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marehemu hasimangwi
haya baba Idd amini alikuwa mwwma kweli kweli,aliwapenda waganda kama bro and sisters.
N.b.sisi huku ndio yatupasa sasa tuwaombee marehemu ili wasamehewe,maana hali waliyo nayo huwa hawawezi tena kujioombea.
 
Back
Top Bottom