TANZIA Mwanachama mkongwe wa Yanga Ibrahim Akilinali afariki dunia

TANZIA Mwanachama mkongwe wa Yanga Ibrahim Akilinali afariki dunia

Apumzike kwa amani,Japo ni miongoni mwa wazee waliochangia kuiharibu YOUNG AFRICAN SPOTIO CLUB.
Sikweli,siyo kila sehemu mnaweza kuna na mawazo sawa hasa kwenye kundi kubwa lazima mawazo mbadara yawepo,kama JF kila siku watu wanapigania uhuru wa kutoa maoni,why useme alikuwa anaivunja yanga?
 
Pole kwa familia ya akili mali alipambana kwa kiasi chake kwenye tasnia ya mpira Timu yetu haitamsahau kwa changamoto zake.
 
Pole kwa familia ya akili mali alipambana kwa kiasi chake kwenye tasnia ya mpira Timu yetu haitamsahau kwa changamoto zake.
 
Back
Top Bottom