Poleni kwa familia,Pumzika Mzee Akilimali Mwendo Umeumaliza.Mwanachama mkongwe wa club ya mpira wa miguu ya Yanga Mzee Ibrahim Akilimali amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Bagamoyo
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ulivyo andika kwa mana kwamba hakustaili kufa vile.. Kila mtu atakufa tu
Sitakuwa mnafiki, sikutokea kupenda misimamo yake
Mtani wangu Akilimali kaniangusha Ana akili halafu anakufa
Kwa Nini Hajatumia akili asife?