balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Mwanachama mkongwe wa Klabu ya mpira wa miguu ya Yanga Mzee Ibrahim Akilimali amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Bagamoyo
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...!!
Mtani wangu Akilimali kaniangusha Ana akili halafu anakufa
Kwa Nini Hajatumia akili asife?
Dah.Mwanachama mkongwe wa Klabu ya mpira wa miguu ya Yanga Mzee Ibrahim Akilimali amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Bagamoyo
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...!!
Sitakuwa mnafiki, sikutokea kupenda misimamo yake
Pumzika mahali unapostahili mzeeMwanachama mkongwe wa Klabu ya mpira wa miguu ya Yanga Mzee Ibrahim Akilimali amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Bagamoyo
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...!!
Hakuwa na hati yoyote ya yangaDooh.inna lillah wainna ilayhi rajiun.
na Hati za club ya yanga si anazo yeye. Sijui itakuwajeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli,kuna mambo alikuwa anachallenge ni ya msingi Sana tu na ndiyo maana viongozi walikuwa wanatekeleza,sema kwasababu wanayanga wengi tulikuwa tunamdharau kwasababu hana pesa na kuona hana issue
Hapana atakuwa nazo Kilomoni khamis pamoja na zile za simbaDooh.inna lillah wainna ilayhi rajiun.
na Hati za club ya yanga si anazo yeye. Sijui itakuwajeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikweli,siyo kila sehemu mnaweza kuna na mawazo sawa hasa kwenye kundi kubwa lazima mawazo mbadara yawepo,kama JF kila siku watu wanapigania uhuru wa kutoa maoni,why useme alikuwa anaivunja yanga?Apumzike kwa amani,Japo ni miongoni mwa wazee waliochangia kuiharibu YOUNG AFRICAN SPOTIO CLUB.
RipMwanachama mkongwe wa Klabu ya mpira wa miguu ya Yanga Mzee Ibrahim Akilimali amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Bagamoyo
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...!!