Hapana atakuwa nazo Kilomoni khamis pamoja na zile za simba
Apumziike anapostahili.
.........Hivi mzee Yusuph Mzimba yupo wapi?
Marehemu hasimangwiApumzike kwa amani,Japo ni miongoni mwa wazee waliochangia kuiharibu YOUNG AFRICAN SPOTIO CLUB.
haya baba Idd amini alikuwa mwwma kweli kweli,aliwapenda waganda kama bro and sisters.Marehemu hasimangwi