[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24]Mjee hata 100 shenzi nyinyi!
Ita mpk babako mdogo mbwa wewe.
Siku nyingine ajichambe mwenyewe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Eeenh Mungu wangu, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
Dah!!
Kifo cha warumi kimeibua wakongwe wa JF leo, habari za siku Belinda?Rest well Warumi.
Stori zako hapa Celebrities Forum zilikuwa full burudani.
Nimeangalia sasa hivi kashawekewa R I P 😭😭😭Yaniii hunifikii mie
Nimekuwaza nimelia kukusaidia.
Yani uuuwih kifoNimeangalia sasa hivi kashawekewa R I P 😭😭😭
Apumzike kwa amani,siamini jamani imeniuma!
busara za watu wazima hizimkuu mbn humu JF tunafahamiana wengi tu ni wewe tu km utaamua kuishi safi na wengne
mfn. mm nilimfahamu mshanajr humu jamiiforum
lkn tulikuja kuwa washkaji nikaifahamu mpk familia yake na mpaka kwangu ninapoishi alikuja
ninachokushauri usiwe mropokaji wa maneno ya hovyo kwa watu
hapo awali mm na mshana tulikuwa hatuelewani nilikuwa namuattack kwa ID nyingne na siyete tu wengi tu lkn mwisho akaja kuwa mshikaji
mpk leo ile ID siitumii ilikuwa ni ya ujinga mwingi
humu JF kuna watu wanaroho nzuri mno
ambapo serious ikatokea ukwakwama ni rahisi kusaidiwa
hvyo nawashauri WANAJF wenzangu ikiwa mmetofautiana kimtazamo
msiwe na maneno ya kukwazana kwa mwezako humjui nje ipo siku utahitaji msaada ambao yeye ni rahisi kukupatia au kukupa connection
Hekima hiiApumzike kwa Amani, wanaomjua wasiongee mengi abaki kuwa anonymous kama alivyopendelea enzi za uhai wake.
Duuh unapoandika brother unanichanganya kabisa mm najua ni sheRest easy brother!
[emoji38][emoji38][emoji38]acha kabisaa...nammis sana binamu Mungu ampe pumziko!kipindi kile ilikua hot Sana'a!warumi na matola kaahh!acha kabisa...Daah andjul ali-like comment yangu kwenye uzi wa zamani wa Warumi. Mmh ile nafungua naona RIP kwenye ID ya Warumi; nikakukumbuka ghalfa. Kwa kweli mmepitia mengi na Warumi kwenye hekaheka za umbea. Nakumbuka enzi zile mnachambana na Matola;Warumi anachanganyikiwa na vichambo hadi anajiquote mwenyewe.
Evelyn Salt unakumbuka binamu alivyoenda kulala kwenye msiba wa Marehemu Kuambiana ili tu kutuletea ubuyu? Daah binamu yetu maskini
Unakumbuka kuchambwa ka sinta kule hahaaaa!!Watu walikuwa wakimtukana warumi
Warumi anagoma kutupa umbea kisa hatumsaidii akichambwa
Ikabidi tuanze kuwa tunamsaidia
Nitammiss jamanu warumi
Mwenzangu nilijiuliza huu Uzi mrefu hivi mbona hajaonekana kulikoni?Ndo maana hatukumuona kwenye umbea kule kumbe alikua anafight na maisha yake
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji28]balaaa watu wanashindwa kuchamba jf wanaenda uturn na kwa sintah kuchamba!Hahahha tunacheka kama mazuri. Kwa kweli Matola alikuwa anawanyoosha; nilikuwa ninacheka hadi basi. Mnaungana wenyewe ila bado anawatoa jasho.
Hiyo ya kuchambwa kwenye blog ya Sinta, mmenikumbusha na binamu Raynavero Vichambo hadi na U-turn kwa Mange[emoji38][emoji38]