TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Mjee hata 100 shenzi nyinyi!
Ita mpk babako mdogo mbwa wewe.

Siku nyingine ajichambe mwenyewe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Eeenh Mungu wangu, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
Dah!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24]
 
mkuu mbn humu JF tunafahamiana wengi tu ni wewe tu km utaamua kuishi safi na wengne
mfn. mm nilimfahamu mshanajr humu jamiiforum
lkn tulikuja kuwa washkaji nikaifahamu mpk familia yake na mpaka kwangu ninapoishi alikuja
ninachokushauri usiwe mropokaji wa maneno ya hovyo kwa watu
hapo awali mm na mshana tulikuwa hatuelewani nilikuwa namuattack kwa ID nyingne na siyete tu wengi tu lkn mwisho akaja kuwa mshikaji
mpk leo ile ID siitumii ilikuwa ni ya ujinga mwingi

humu JF kuna watu wanaroho nzuri mno
ambapo serious ikatokea ukwakwama ni rahisi kusaidiwa

hvyo nawashauri WANAJF wenzangu ikiwa mmetofautiana kimtazamo
msiwe na maneno ya kukwazana kwa mwezako humjui nje ipo siku utahitaji msaada ambao yeye ni rahisi kukupatia au kukupa connection
busara za watu wazima hizi
 
Innalilah wainalilaaah rajun.....hivi ndo yulee wa ubuyu au yuleee Ni mwingine.maana Kama alikuwa anaumwa aliwezaje kuwa mbea kiasi kileee
 
Daah andjul ali-like comment yangu kwenye uzi wa zamani wa Warumi. Mmh ile nafungua naona RIP kwenye ID ya Warumi; nikakukumbuka ghalfa. Kwa kweli mmepitia mengi na Warumi kwenye hekaheka za umbea. Nakumbuka enzi zile mnachambana na Matola;Warumi anachanganyikiwa na vichambo hadi anajiquote mwenyewe.

Evelyn Salt unakumbuka binamu alivyoenda kulala kwenye msiba wa Marehemu Kuambiana ili tu kutuletea ubuyu? Daah binamu yetu maskini
[emoji38][emoji38][emoji38]acha kabisaa...nammis sana binamu Mungu ampe pumziko!kipindi kile ilikua hot Sana'a!warumi na matola kaahh!acha kabisa...

Na ile ya kuambiana ndo aliua bendi

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Hahahha tunacheka kama mazuri. Kwa kweli Matola alikuwa anawanyoosha; nilikuwa ninacheka hadi basi. Mnaungana wenyewe ila bado anawatoa jasho.

Hiyo ya kuchambwa kwenye blog ya Sinta, mmenikumbusha na binamu Raynavero Vichambo hadi na U-turn kwa Mange[emoji38][emoji38]
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji28]balaaa watu wanashindwa kuchamba jf wanaenda uturn na kwa sintah kuchamba!
Ila warumi jamani daah!ametuweza sana....!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom