Revelation 21:8Toka lini umbeya ukampeleka mtu jehanum, hujui maandiko wewe
Siku moja tulichambwaa kwa sina hamu!!Tushachambwa sie jamani
Ila kipindi celebrity was hot hot!!daahh!Unakumbuka tulikuwa tunamsaidia kuchamba wanaomchamba
Tusipomsaidia hatupi ubuyu,anaenda hadi kulala msibani
Kwnye ule uzi wa uwoya wengne walijua ww ni warumi akiwepo Golden CSiku moja tulichambwaa kwa sina hamu!!
Halafu sasa umbea mwingine tunaeleteana PM huku kukiwa kumekaa vibaya!
.Yarrabi Mpunguzie adhabu mja wako!Subhaana lllaaah!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kwanini umenichekesha na watu tuna msiba? Dah tena tulimpump aende kulala msibani na akaenda kweli ili tu alete ubuyu!Daah andjul ali-like comment yangu kwenye uzi wa zamani wa Warumi. Mmh ile nafungua naona RIP kwenye ID ya Warumi; nikakukumbuka ghalfa. Kwa kweli mmepitia mengi na Warumi kwenye hekaheka za umbea. Nakumbuka enzi zile mnachambana na Matola;Warumi anachanganyikiwa na vichambo hadi anajiquote mwenyewe.
Evelyn Salt unakumbuka binamu alivyoenda kulala kwenye msiba wa Marehemu Kuambiana ili tu kutuletea ubuyu? Daah binamu yetu maskini
Daahh!maskini wee!I hope kipindi kile alikua anaumwa maskini anapambania maisha yake!Kwnye ule uzi wa uwoya wengne walijua ww ni warumi akiwepo Golden C
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah ndo natoka now humu kibaruani nimechelewa hataree...ntaenda kesho[emoji848]Acha kabisa mi siamini I wish niwepo msibani kwake!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
π―%Alikua Carrymastory wa JF
Pole sana kesho jitahidi uende Mimi Niko mbali ningeenda kwa kweliDaah ndo natoka now humu kibaruani ningechelewa hataree...ntaenda kesho[emoji848]
Kwa alilofanya siku hiyo nilihisi warumi ni Imelda wa Globa publishers, nilidhani kada yake katika maisha halisi ni mwandishi wa udaku, kumbe la sio.Siku kaenda kulala msibani nilicheka, msiba wa Adam kuambiana katafuta nyumba ya msiba hadi kaipata kaenda kulala ili apate umbea
Ni mtu ambae umbea ulikua kwenye damu tu, unakumbuka alisema akiwa form two kuna umbea alimfanyia head master akafukuzwa shule πππKwa alilofanya siku hiyo nilihisi warumi ni Imelda wa Globa publishers, nilidhani kada yake katika maisha halisi ni mwandishi wa udaku, kumbe la sio.
RIP binamu aiseee!
Ndiwoooo.Ni mtu ambae umbea ulikua kwenye damu, unakumbuka alisema akiwa form two kuna umbea alimfanyia head master akafukuzwa shule πππ
Nitamkumbuka sana, nitammiss sana rafiki yetu huyu.Ndiwoooo.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£