TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Toka lini umbeya ukampeleka mtu jehanum, hujui maandiko wewe
Revelation 21:8
Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
 
Daah andjul ali-like comment yangu kwenye uzi wa zamani wa Warumi. Mmh ile nafungua naona RIP kwenye ID ya Warumi; nikakukumbuka ghalfa. Kwa kweli mmepitia mengi na Warumi kwenye hekaheka za umbea. Nakumbuka enzi zile mnachambana na Matola;Warumi anachanganyikiwa na vichambo hadi anajiquote mwenyewe.

Evelyn Salt unakumbuka binamu alivyoenda kulala kwenye msiba wa Marehemu Kuambiana ili tu kutuletea ubuyu? Daah binamu yetu maskini
Kwanini umenichekesha na watu tuna msiba? Dah tena tulimpump aende kulala msibani na akaenda kweli ili tu alete ubuyu!

We thank God for his life.
 
Warumi alikuwa mbishi na wala haogopi ban. Mungu amlaze pema
 
Siku kaenda kulala msibani nilicheka, msiba wa Adam kuambiana katafuta nyumba ya msiba hadi kaipata kaenda kulala ili apate umbea
Kwa alilofanya siku hiyo nilihisi warumi ni Imelda wa Globa publishers, nilidhani kada yake katika maisha halisi ni mwandishi wa udaku, kumbe la sio.

RIP binamu aiseee!
 
Kwa alilofanya siku hiyo nilihisi warumi ni Imelda wa Globa publishers, nilidhani kada yake katika maisha halisi ni mwandishi wa udaku, kumbe la sio.

RIP binamu aiseee!
Ni mtu ambae umbea ulikua kwenye damu tu, unakumbuka alisema akiwa form two kuna umbea alimfanyia head master akafukuzwa shule 😂😂😂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom