[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji23]Kuna siku alimind akasusa kutoa ubuyu, analalamika anahangaika kupata umbea anaenda hadi mbali kwa garama zake kutafuta umbea analeta halafu tunakuja kumuita muongo, ameenda hadi nyumbani kwa wema kuwachungulia wema na diamond dirishani afu tunamuita muongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Alianzisha akakutana na watu huko wamezaliwa wanachamba, aliikimbia page yake [emoji23][emoji23][emoji23] akarudi huku jf ambako anatumudu
Ndio maana hakuonekana! Mungu amlaze mahali pema peponi[emoji1374]Daahh!maskini wee!I hope kipindi kile alikua anaumwa maskini anapambania maisha yake!
Nafsi yaniuma sana maskini dah!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nilimfollow pia, nikawa namcheki tu anavokula vichambo huko insta mwisho akatelekeza page akakimbia 😂, nikimuuliza insta vipi mbona haupo anajifanya ntarudi binamu....Nakumbuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Hadi nilimfollow hahaha nikazama nae DM nikajitambulisha akacheka sanaa[emoji16][emoji16]
Na ww ulikuwa unataka kuwa mchambaji!!Mmhh mpaka nimeishiwa nguvu.
Alikuwa ananinspire sana na jinsi anavyochamba watu wanaomvuruga. 😔
Very likely yes.Inawezekana wengi wa watu tulio active JF ni watu tunapitia mashida mingi sana kwa maisha.. RIP Warumi
nikiwepo mimiInawezekana wengi wa watu tulio active JF ni watu tunapitia mashida mingi sana kwa maisha.. RIP Warumi
Kesho lazimaPole sana kesho jitahidi uende Mimi Niko mbali ningeenda kwa kweli
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app