TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Mie nakumbuka mwaka 2014 nilipata misiba mfululizo nilifiwa na mdogo wangu and after one wiki nikafiwa na bibi yangu, and that time tukuliwa na zile wings zetu, rock city wing, arusha wing, Tanga wing na dar, japo uongozi wa JF haukuorginize chochote lakini nakumbuka baadhi ya wanaJF walinitumia rambi rambi. Kipindi cha nyuma kulikuwa na ushirikiano sana miongoni mwetu
 
R.I.P Warumi daa jamani!

Kila mtu ana mabaya na mazuri yake , tutamkumbuka kwa ubuyu wakila mara, pumzika kwa Armani Warumi!
 
Hata mimi Mshana Jr nimewahi kukutana naye physically na akanipa ushauri, so uko sahihi mkuu, kikubwa usiwe mtu wa kukwaza watu.
 
Ubarikiwe sana HOE!
 
Mungu akipenda tutawawakilisha msibani huku Mbeya
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…