TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Kwanini haipendezi ? Tayari ameshatangulia mbele za Haki kuna faida gani kuendelea kumbakiza Anonymous ?
Na wewe utapata faida gani ukishaiona picha ya mtu ambae hana uhai tena?

Sijawahi kuzoeana na marehemu na wala simjui na si lazima kumjua lakini kitendo cha kuwa mmoja wa wanajf na amekata pumzi tukapata taarifa kwa wakati sahihi basi ni jambo Jema sana na lakumshukuru Mungu.ninajaribu kuwaza kwa mapana sna kesho na keshokutwa sina uhai je atakuwepo mtu wa kuja kuleta taarifa JF kuwa Chakorii hatunae tena na baadhi ya wanajf wakapata muda wa kuja kunizika?au Ndio ID yangu itanyamaza ama kupotea mazima wanajf wakidhani nimebanwa na majukumu ya maisha kumbe nilishakufa kitambo mno..🥺🥺

Inatia simanzi mno..na kama mtu hakumuona akiwa hai itabadilisha nini kumuona akiwa mfu?inafikirisha mno.

Ukijifunza kuvaa viatu vya mtu,hakika kuna baadhi ya mambo lazima uyaache yapite kimya kimya na kuzidi kuomba Rehema ya Mungu.
Maisha haya🥺🥺ona sasa jina limebadilika anaitwa marehemu🥺🥺

Tuzidi kuomba mwisho mwema jamani.

Mwanga wa milele umuangazie warumi apumzike kwa Amani.
 
Duh..., japo mimi sio mwanachama active wa celebrity forum, ila jamaa namkubali sana na nimeguswa.

Zamani JF ilikuwa tukipoteza mwanachama, if management ilikuwa inafanya some sort of organisation, nakumbuka msiba wa Regia if tulitengeneza hadi Tshirts na tuka jiorganize hadi kuhudhuria mazishi kule Ifakara, tena kuna member alijitolea gari yake!
Hebu tazameni hapa chini

I don't know what happened now. Should we push for equal treatment during the demise of our members, tuweke system ya ndugu kuripoti kwa jf management kifo cha mwanachama wetu yoyote regardless umaarufu wake, kisha waweke number ya mchango, wana jf kuchangie, na siku ya kuaga jf management iwepo na kukabidhi mchango kwa wakiwa na mtu wa jf atoe neno.

Na kwenye mazishi ya wana jf wa eneo husika wahudhurie kutuwakilisha.

Kwenye mchango wa rambirambi hata tukiweka minimum TZS 1,000 tuu, kwa jinsi tulivyo wengi, hiyo fedha ina kuwa ina impact kubwa na ni faraja kwa familia kujua mpendwa wao alikuwa mwanachama wa mtandao wa jf na jf wanajali.

Na kwa vile wengi wa wana jf wanatumia pen names, ili kuheshimu the unanimity ya marehemu, humu jf tuu ndio atatajwa kwa jina lake la jf, mfano huyu warumi , lakini
pale msibani no one will mention his name, hata kwenye Salaam za jf, hatamkwi popote kwa jina, bali "marehemu alikuwa mwanachama wetu, alijinga jf lini, amechangia mada mbalimbali etc just that, na if members watakao hudhuria msiba, kwa vile kule wataliona na kulijua jina halisi, kanuni yetu na "name calling" iwe strictly observed kumuheshimu marehemu kwa kutolitaja jina lake halisi, maadam humu kwetu alikuwa warumi , then he/she will always be warumi.

Mkuu Maxence Melo , if there is anything jf can do kuhusu huyu fallen hero, let's do something kuonyesha solidarity yetu.
RIP warumi !.
P
Nimeipenda hii

Umoja na mshikamano ni kitu kizuri mno

Hapa tunaona nguvu chaja ya mitandao hasa humu jf
 
🙏🙏🙏🙏
 
Na wewe utapata faida gani ukishaiona picha ya mtu ambae hana uhai tena?

Sijawahi kuzoeana na marehemu na wala simjui na si lazima kumjua lakini kitendo cha kuwa mmoja wa wanajf na amekata pumzi tukapata taarifa kwa wakati sahihi basi ni jambo Jema sana na lakumshukuru Mungu.ninajaribu kuwaza kwa mapana sna kesho na keshokutwa sina uhai je atakuwepo mtu wa kuja kuleta taarifa JF kuwa Chakorii hatunae tena na baadhi ya wanajf wakapata muda wa kuja kunizika?au Ndio ID yangu itanyamaza ama kupotea mazima wanajf wakidhani nimebanwa na majukumu ya maisha kumbe nilishakufa kitambo mno..[emoji3064][emoji3064]

Inatia simanzi mno..na kama mtu hakumuona akiwa hai itabadilisha nini kumuona akiwa mfu?inafikirisha mno.

Ukijifunza kuvaa viatu vya mtu,hakika kuna baadhi ya mambo lazima uyaache yapite kimya kimya na kuzidi kuomba Rehema ya Mungu.
Maisha haya[emoji3064][emoji3064]ona sasa jina limebadilika anaitwa marehemu[emoji3064][emoji3064]

Tuzidi kuomba mwisho mwema jamani.

Mwanga wa milele umuangazie warumi apumzike kwa Amani.

Umeandika maneno mazito sana dada angu, Sina cha kuongeza. Haya maisha haya jamani daah, Umenifanya niwaze mara mbili daah [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Heee ndo naona leo mweee. Pumzika kwa Amani. Kumbe alikua mkaka duu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom