TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Familia ishaingia kwa gari kuanza msafara.
Mlioko mbeya nimechukua namba ya dereva na namba za ndugu pia.
Naomba mtushike mkono kama sisi huku.
Binamu yetu hayupo tena
 
Familia ishaingia kwa gari kuanza msafara.
Mlioko mbeya nimechukua namba ya dereva na namba za ndugu pia.
Naomba mtushike mkono kama sisi huku.
Binamu yetu hayupo tena
Amu mko wapi?!!
 
Tumemkabidhi dada Atu dada yake na binamu sh 215,000.
HOE jana aliacha msibani sh 20,000.
Jumla 235,000.
Dah, binamu ndio anaiacha dar hivyo jamani 😭 😭 😭
Wamefariki wengi humu JF lkn warumi kaniuma jamani khaa, nenda binamu, nilikuwa mbeya juzi tu ningejua ningekusubiri binamu nikakuzika😭😭
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom