Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiba mbichi ule ndo umeanza!Mungu awatangulie,alikua ndugu yako kabisa yaani mule mule...ila yule wa Dar kwa kweli ...!Yaani sikujua kama binamu alikuwa mnyaki. Nawajua ndugu zangu kwa kulia, sipati picha wakifika nyumbani Mbeya; Mungu awatie nguvu
Mimi mwenyewe huu msiba umenitia huzuni wakati simfahamu na mliohudhuria hamfahamiani licha ya kupigana kikumbo na michangoWanyaki wanajua kulia sana...!!uchungu mnooo!kufiwa na mdogo wako namuelewa!
Na kachanganyikiwa yule,ule msiba mzito sana!maana mpk katoto kale kamelia sana
Yule amebeba msalaba analia,nilivoona sanduku linaingia kwa gari machozi yamenitoka
Halafu ujue ukute tumeonana sema hatujuani daah!
Tangulia binamu ntakumis,ndo ulifanya nijiunge jf,sitamsahau picha yake nimeiangalia inasadifu ucheshi wake!
I have his picture naangalia then nacheka ule umbea wa PM!
Mimbea imeumbuliwa🤣🤣🤣🤣Mnaonifata pm na kuomba picha ya marehemu tafadhali tafadhali tuheshimiane katika hilo.
SITOWEZA KUTOA NA SITOI.
kabisa mkuu... hata mimi ilishanitokea ... ilikuwa tough moment sanaVery likely yes.
Mi nikiwa active JF ,ndo muda niko na very hard moments.
So hii ni Get away ya wengi
Life is Meaningful,Warumi huyu huyu
RIP
Life is meaningless
witnessj umepokea wewe hela yake?Hapa hapa kwenye update za michango