TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Yaani sikujua kama binamu alikuwa mnyaki. Nawajua ndugu zangu kwa kulia, sipati picha wakifika nyumbani Mbeya; Mungu awatie nguvu
Msiba mbichi ule ndo umeanza!Mungu awatangulie,alikua ndugu yako kabisa yaani mule mule...ila yule wa Dar kwa kweli ...!

Mungu awatangulie nafsi inauma sana mpk naogopa umri ule mdogo mtu anatutoka kwa gonjwa kama figo dahh!
 
Wanyaki wanajua kulia sana...!!uchungu mnooo!kufiwa na mdogo wako namuelewa!
Na kachanganyikiwa yule,ule msiba mzito sana!maana mpk katoto kale kamelia sana
Yule amebeba msalaba analia,nilivoona sanduku linaingia kwa gari machozi yamenitoka
Halafu ujue ukute tumeonana sema hatujuani daah!
Tangulia binamu ntakumis,ndo ulifanya nijiunge jf,sitamsahau picha yake nimeiangalia inasadifu ucheshi wake!
I have his picture naangalia then nacheka ule umbea wa PM!
Mimi mwenyewe huu msiba umenitia huzuni wakati simfahamu na mliohudhuria hamfahamiani licha ya kupigana kikumbo na michango
Poleni sote
 
Hapa hapa kwenye update za michango
witnessj umepokea wewe hela yake?
Acha undaza wewe nimevunja siku zangu mbili yaani siku mbili kwa ajili ya hili zoezi.

Ninaweza kuwa na shida ya pesa lakini si kula hela za rambirambi.

Update ya mwisho nimesema jumla 345,000.

215,000 tumeacha cash muhimbili jumlisha ya HOE 20,000 juzi zinakuwa 235,000.

Maana yake HOE hana aliongezea 20,000.
Usiku familia imetumiwa 110,000.

100,000 kutoka kwa Maxence kama rambirambi za jf taasisi na sh 10,000 kutoka kwa member humu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom