TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Ndugu yako katika sekta ametutoka. Huwa nawakubali sana kwa kazi yenu, nakupa pole kwa kuondokewa na workmate jukwaani
Nimesikitika hadi machozi jamani warumi nyie ooh Mungu amlaze pema peponi. Warumi aliheshimisha jukwaa la celebrity forum aisee hadi na mimi nikawa nalipenda hili jukwaa. Nimesikitika sana, wapenda ubuyu wote wa JF poleni sana
 
Opppsssss R.I.P warumi

Tutamiss stori zake za skendo zinazohusu watu maarufu

Apumzike kwa amani.

Pole kwa familia; nashauri wakati mwingine ikipatikana taarifa ya mgonjwa hapa JF itolewe taarifa; wanafamilia wa JF wanaweza kusaidia au hata kwenda kumjulia hali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom