TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Kweli uhai ni fumbo, leo mzima kesho unaondoka duniani. I can't believe kama ni kwelii though she/he wasn't Immortal. Ila imekua mapema mno wanadamu bado wanahitaji uwepo wake na nature inaona muda ushaisha wa kutumikia Kusudi lake la kua duniani.
Mungu amjalie rehema zake na kumpatia pumziko la milele, Alikua kama sisi nasi tutakua kama yeye[emoji257][emoji257][emoji257]View attachment 1908894

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom