TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
We mleta mada ulimjuaje wakati mi kwa sura namjua Pascal Mayala na mkurugenzi wa jf pekee? Yaani mpaka ukamjua dada yake? Kwa hiyo nikienda msibani naweza kukuona 'amu'?
mkuu mbn humu JF tunafahamiana wengi tu ni wewe tu km utaamua kuishi safi na wengne
mfn. mm nilimfahamu mshanajr humu jamiiforum
lkn tulikuja kuwa washkaji nikaifahamu mpk familia yake na mpaka kwangu ninapoishi alikuja
ninachokushauri usiwe mropokaji wa maneno ya hovyo kwa watu
hapo awali mm na mshana tulikuwa hatuelewani nilikuwa namuattack kwa ID nyingne na siyete tu wengi tu lkn mwisho akaja kuwa mshikaji
mpk leo ile ID siitumii ilikuwa ni ya ujinga mwingi

humu JF kuna watu wanaroho nzuri mno
ambapo serious ikatokea ukwakwama ni rahisi kusaidiwa

hvyo nawashauri WANAJF wenzangu ikiwa mmetofautiana kimtazamo
msiwe na maneno ya kukwazana kwa mwezako humjui nje ipo siku utahitaji msaada ambao yeye ni rahisi kukupatia au kukupa connection
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom