TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Hizi habari zimenisikitisha sana😥, may her beautiful soul rest in eternal peace🙏
 
Hizi hbr ni za kushtusha sana kwa kila mmoja wetu, lkn kwa kila jambo tunapaswa kushukuru, mwendazake amekamilisha muda aliopewa kuishi nasi hapa duniani na ameyarudia mavumbi. Katika utengano huu wenye uchungu tunafaraja kuwa siku moja tutaonana na wenzetu tuliotengwa nao kupitia mauti pale mwokozi wetu Yesu Kristo atakaporudi mara ya pili. Pole nyingi kwa ndugu jamaa na marafiki.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe
 
Habari mbaya hizi, maisha yaweza kuwa meaningless kabisa...basi tu! Pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wote wa jukwaa la celebrity. Japo wengine huku sio sana...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom