TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Nimeandika nimefuta Mara nyingi

N juz tu nilikutag kwenye uzi usemao kuhusu mke wa mpiga picha wa Diamond Platinum kiliwa na Jux utupe ufafanuzi

Masikin kumbe ulikuwa unapambania uhai wako Mungu akusamehe madhambi yako na akupokee

Sisi sote na WAMWENYEZI MUNGU NA KWAKE TUTAREJEA

USTAREHE KWA AMANI MPENDWAA
 
warumi binamu yetu hatunae.
R.i.P warumi

giphy.gif
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom