Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kumbe alikuwemo kwenye lile kundi la watu waliokaza bongo zao kudai picha!?Aliuliza siku ya kuaga eti akifika kanisani muhimbili akiulizia msiba wa warumi ataonyeshwa?akakomaa pia tuweke picha.
Sikujibu kutokumvunjia heshima.
Lakini leo yeye kaja kumvunjia heshima odo.
[emoji23] kwamba alikua anajoke
Hata sijui[emoji3][emoji23] kwamba alikua anajoke
Yaah kazingua... Tumsamehe bure
I know utani.Mimi nadhani alikuwa anatania..ila tu namna alivyowasilisha imeleta utata.
Sidhani kama yupo serious na hiyo comment.
Kama yupo siriaz basi atakuwa amenidisappoint sana maana ni moja kati ya dada/mama ninayemuheshimu sana hapa jukwaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amezingua dah[emoji26]I know utani.
Alimaanisha alichokisema.
Ameniuma Huyu kijana, nafkr kwa watu ninaoclique nao JF ,af miaka mingi nyuma.Amezingua dah[emoji26]
Binafsi comment yako nimeilewa sana na nimeumizwa sana na msiba wa Warumi ukizingatia ugonjwa uliomuuwa nishawahi kuuexperience kwa ndugu yangu..mateso yake.
Nimeumia ila ni vile tu wengine hatuwezi kuandika vile inavyopaswa kuwasilisha hisia zetu za maumivu ..
Wewe umewasilisha vyema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah[emoji174]Ameniuma Huyu kijana, nafkr kwa watu ninaoclique nao JF ,af miaka mingi nyuma.
Yeye ni wa kwanza kufariki.
Unajua ile unakuwa na Ids uko nazo close enh?
Mi hata sura simjui.
Ila ni mtu alikuwa behind the keyboard tuna bond ya kumisiana kabisa.
Which kwenye cyber friendship ni kitu very normal.
So nimeomboleza ile ya kupoteza rafiki kabisa.
Nimeumia moyo, na kulia hasa.
Because yes, he was among my JF friends.
Hii ndo mi imeniliza.Dah[emoji174]
Ametuumiza wengi, ukizingatia juzi kati tu hapa alikuwa anatuchekesha humu.
I wish ningejua kama anaumwa,ningeenda japo kumsalimia nicheke Naye[emoji174][emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji174]Hii ndo mi imeniliza.
Kumbe he was fighting his battles yet alikuwa anatupa vicheko.
Nawaza alikuwa anacheka kwa maumivu vile tunamjibu kwa kumshushua.
Na anarespond.
Maybe ndo ilikuwa njia yake ya kusahau maumivu yake.
" Kufanya wengine wawe na furaha"
Amenifundisha kwa hakika.
Yaani acha tu dear, amejikaza sana lakini mwaka Jana na mwaka huu alipotea sana kumbe ndo alikua anaumwa mwenzetu ukimfata PM kinapita kitambo anakujibu nipo binamu ntarudi,kumbe he was very sick struggling between life and death...Hii ndo mi imeniliza.
Kumbe he was fighting his battles yet alikuwa anatupa vicheko.
Nawaza alikuwa anacheka kwa maumivu vile tunamjibu kwa kumshushua.
Na anarespond.
Maybe ndo ilikuwa njia yake ya kusahau maumivu yake.
" Kufanya wengine wawe na furaha"
Amenifundisha kwa hakika.
Chief naomba nitumie hii song, nimejaribu kudownload kwa YouTube nimeshindwa, pls.
[emoji24]Yaani acha tu dear, amejikaza sana lakini mwaka Jana na mwaka huu alipotea sana kumbe ndo alikua anaumwa mwenzetu ukimfata PM kinapita kitambo anakujibu nipo binamu ntarudi,kumbe he was very sick struggling between life and death...
Kifo kimeniuma mpk nilimsimulia MTU ambae hajui kama Niko if ikabid tu nimuambie nimefiwa na my friend wa jf!
[emoji28][emoji28][emoji849][emoji849][emoji2357][emoji2357]Atakuwa alikukula madame haki siyo maombolezo haya.
Weka ss kati inapoishia w na inpoanza y www.youtube sasa kwenye hiyo link ya wimbo weka www.ssyoutube(link) kisha enter itakuja Download video.
Mpe mpe huyo vidonge vyake akimeza akitema hiyo ni shauri yakeUko na shida mahali, na ni mwepesi wa kusahau sana.
Mbona watu walilia na wewe sana hapa ulipofiwa,ulipokuwa unauguza je wale wanaume wote walikukula?
Wanasemaga umri unaendana na hekima lakini mbona umekosa hata robo ya hekima?