TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Aliuliza siku ya kuaga eti akifika kanisani muhimbili akiulizia msiba wa warumi ataonyeshwa?akakomaa pia tuweke picha.
Sikujibu kutokumvunjia heshima.
Lakini leo yeye kaja kumvunjia heshima odo.
Kumbe alikuwemo kwenye lile kundi la watu waliokaza bongo zao kudai picha!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I know utani.
Alimaanisha alichokisema.
Amezingua dah[emoji26]

Binafsi comment yako nimeilewa sana na nimeumizwa sana na msiba wa Warumi ukizingatia ugonjwa uliomuuwa nishawahi kuuexperience kwa ndugu yangu..mateso yake.

Nimeumia ila ni vile tu wengine hatuwezi kuandika vile inavyopaswa kuwasilisha hisia zetu za maumivu ..
Wewe umewasilisha vyema.

Ameniuma Huyu kijana, nafkr kwa watu ninaoclique nao JF ,af miaka mingi nyuma.
Yeye ni wa kwanza kufariki.
Unajua ile unakuwa na Ids uko nazo close enh?
Mi hata sura simjui.
Ila ni mtu alikuwa behind the keyboard tuna bond ya kumisiana kabisa.
Which kwenye cyber friendship ni kitu very normal.
So nimeomboleza ile ya kupoteza rafiki kabisa.
Nimeumia moyo, na kulia hasa.
Because yes, he was among my JF friends.
 
Dah[emoji174]
Ametuumiza wengi, ukizingatia juzi kati tu hapa alikuwa anatuchekesha humu.

I wish ningejua kama anaumwa,ningeenda japo kumsalimia nicheke Naye[emoji174][emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUPITIA HUU MSIBA NIMEJIFUNZA VITU VIFUATAVYO.

1:Ni vizuri kuwa na mtu japo mmoja Aliye active humu JF anayekufahamu Jina Lako halisi, Sura na wapi unaishi ambaye japo kwa mwezi mmoja Ajue unaendeleaje.yaani muwasiliane.

2:Siyo watu wote Watakaopenda kutokujulikana humu baada ya vifo vyao maana tunaamini JF itaendelea kuwepo. Sababu Mara nyingi tunaficha Identity zetu Sababu za Kijamii na kiusalama.. hivyo baada ya Kufa wengine tutapenda kujulikana.. nini kifanyike??

3.Kuwe na option unapojiunga JF au hata kama ulishajiunga kitambo.. ya kuandika Jina Lako Halisi na Picha yako.. Ambayo unaweza kuwa unaibadili upendavyo Kila baada ya Mwaka mmoja.. kwa wale Watakaopenda (siyo lazima) Na kuwe na option ya kuchagua kukubali au kukataa Endapo utafariki Picha hiyo na Majina yako halisi yawekwe hapa JF Na mods ili watu wakufahamu.. (maana najua wapo Watakaopenda) na option yenye details hizo iwe unaweza kuiona wewe tu na Mods basi na siyo mtu mwingine kama ambavyo huwa tunaweka email zetu wakati wa kujiunga..
 
Dah[emoji174]
Ametuumiza wengi, ukizingatia juzi kati tu hapa alikuwa anatuchekesha humu.

I wish ningejua kama anaumwa,ningeenda japo kumsalimia nicheke Naye[emoji174][emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo mi imeniliza.
Kumbe he was fighting his battles yet alikuwa anatupa vicheko.
Nawaza alikuwa anacheka kwa maumivu vile tunamjibu kwa kumshushua.
Na anarespond.
Maybe ndo ilikuwa njia yake ya kusahau maumivu yake.
" Kufanya wengine wawe na furaha"

Amenifundisha kwa hakika.
 
[emoji174]

Yaani acha tu dear, amejikaza sana lakini mwaka Jana na mwaka huu alipotea sana kumbe ndo alikua anaumwa mwenzetu ukimfata PM kinapita kitambo anakujibu nipo binamu ntarudi,kumbe he was very sick struggling between life and death...
Kifo kimeniuma mpk nilimsimulia MTU ambae hajui kama Niko if ikabid tu nimuambie nimefiwa na my friend wa jf!
 
[emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko na shida mahali, na ni mwepesi wa kusahau sana.
Mbona watu walilia na wewe sana hapa ulipofiwa,ulipokuwa unauguza je wale wanaume wote walikukula?
Wanasemaga umri unaendana na hekima lakini mbona umekosa hata robo ya hekima?
Mpe mpe huyo vidonge vyake akimeza akitema hiyo ni shauri yake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom