Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Duh alikua poa basi kuna muda nilikua namuaddress kama ke na hakujaliAlikua mwanume mkuu sio mwanamke
Hata mm nilijua ni mwanamke .
Apumzike kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh alikua poa basi kuna muda nilikua namuaddress kama ke na hakujaliAlikua mwanume mkuu sio mwanamke
Hata mm nilijua ni mwanamke .
Apumzike kwa amani
We acha tu[emoji22]Pole love, I feel you.
Gone too soon[emoji1751][emoji1751]Nilimfollow pia, nikawa namcheki tu anavokula vichambo huko insta mwisho akatelekeza page akakimbia [emoji23], nikimuuliza insta vipi mbona haupo anajifanya ntarudi binamu....
Warumi kwakweli katuburudisha mnooo, ameondoka mapema sana.
Inshaalah ukipewa uzimaKesho lazima
Oops! Mungu akipendaInshaalah ukipewa uzima
😆😆😆😆😆😆😆😆😆Ni mtu ambae umbea ulikua kwenye damu tu, unakumbuka alisema akiwa form two kuna umbea alimfanyia head master akafukuzwa shule 😂😂😂
Kuna mtu asiye na shida hapa duniani mkuu? Kama siyo changamoto za kiuchumi basi za kimwili/kiafya, changamoto za kiroho, kisaikolojia, kijamii na mengineyo lukuki. Ndiyo maana ikasemwa kuwa maisha ni mapambano na kila unayekutana naye (hata kama ni Dangote au Bili Getis), tambua kuwa kuna vita anapigana. Ni kuombeana, kuchukuliana na kutiana moyo tu!Inawezekana wengi wa watu tulio active JF ni watu tunapitia mashida mingi sana kwa maisha.. RIP Warumi
Na neno lake "mji mzito huu"
Duniani tunapita Ankoo, Mungu atujaalie uthabiti kuyashinda ya dunia.
Jioni nitasogea maeneo ya nyumbani Nonde
Mjee hata 100 shenzi nyinyi!
Ita mpk babako mdogo mbwa wewe.
Siku nyingine ajichambe mwenyewe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Eeenh Mungu wangu, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
Dah!!
Sasa ndo mtu unywe navy aloooKijiko kimoja au viwili kwa nusu lita visizidi vijiko vinne kwa siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku nilichanganya nikamvaa nilichoambulia MUNGU anajua. Nimeumia balaa RIP memba.