TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Inawezekana wengi wa watu tulio active JF ni watu tunapitia mashida mingi sana kwa maisha.. RIP Warumi
Kuna mtu asiye na shida hapa duniani mkuu? Kama siyo changamoto za kiuchumi basi za kimwili/kiafya, changamoto za kiroho, kisaikolojia, kijamii na mengineyo lukuki. Ndiyo maana ikasemwa kuwa maisha ni mapambano na kila unayekutana naye (hata kama ni Dangote au Bili Getis), tambua kuwa kuna vita anapigana. Ni kuombeana, kuchukuliana na kutiana moyo tu!
 
Hahaha matola alikuwa anamchanganya sana binamu, hadi anajikuta anajiquote mwenyewe
Mjee hata 100 shenzi nyinyi!
Ita mpk babako mdogo mbwa wewe.

Siku nyingine ajichambe mwenyewe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Eeenh Mungu wangu, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
Dah!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom