TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Warumi mpaka sasa picha yake ipo usoni pangu,

hahahaha siasani akatuachia wenyewe akajirudia zake huku alipopatawala….

nakumbuka aliupatia uhusika mno na baadhi ya taarifa binafsi za public figures tulimpa PM halafu yeye ndo akawa anazileta kwa mbwembwe na Madaha yote!! It was so funny and now he’s no more….
I will miss him kwakweli…

meest well warumi
Kweli ndugu, alikuwa na kipaji.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Hivi binamu unakumbuka kipindi kile kwenye vichambo kwa Sinta; ile comment ya wale wapenzi wawili walioamua kujifanya askari na nesi? Na yule wa kumchamba mwenzie sijui ana mguu kama mtwangio wa kinu?

Nakumbuka kipindi hicho ilikuwa balaa
Halaf na yule alikuwa akienda kazin na nguo zake za kung’aaa eti anawakera wenzie nguo za usiku anavaa mchana yeye kazini
Akaja nae kuwajibu kuwa wanamuonea wivu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Warumi mpaka sasa picha yake ipo usoni pangu,

hahahaha siasani akatuachia wenyewe akajirudia zake huku alipopatawala….

nakumbuka aliupatia uhusika mno na baadhi ya taarifa binafsi za public figures tulimpa PM halafu yeye ndo akawa anazileta kwa mbwembwe na Madaha yote!! It was so funny and now he’s no more….
I will miss him kwakweli…

meest well warumi

Na mikwara yako ya moto
Ukaiacha,Ila binam huwa nakupendaga sana unaniokoaga na hata kama nna makosa unakuwa upande wangu basi navimba kichwaaa
 
Nakumbuka kipindi hicho ilikuwa balaa
Halaf na yule alikuwa akienda kazin na nguo zake za kung’aaa eti anawakera wenzie nguo za usiku anavaa mchana yeye kazini
Akaja nae kuwajibu kuwa wanamuonea wivu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha nakumbuka binamu. Yaani watu walikuwa wanashindwa kuambiana ukweli huko; wanaenda kurushiana vijembe kwa Sinta
 
Msiogope kufa wala msikiogope "kifo", bali ogopeni sana "dhambi" maana dhambi ndiyo iliyozaa kifo. Hivyo msiogope kufa, ogopa kufa katika dhambi.

Lakini, lipo tumaini la Uzima kwa wote wanaoamini katika Mwana wa MUNGU kwa maana yeye aliyashinda "mauti" na dhambi haina nguvu tena kwa wale waaminio.

Hivyo basi tunaishi katika Kristo na hata tukifa, tunakufa katika Kristo, naye anayo Mamlaka ya "kutufufua" nasi tutaishi tena katika Uzima wa milele na kifo hakitakuwapo tena.

Mwenye masikio na asikie.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom