TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Innah lillah wainnah illah rajioun.

May the almighty Creator grant you peaceful and blissful rest Warumi.

Poleni sana familia kwa kuuguza na msiba pia.

Shukran sana kwa wanajf waliotuwakilisha, mbarikiwe mno.
 
Uko na shida mahali, na ni mwepesi wa kusahau sana.
Mbona watu walilia na wewe sana hapa ulipofiwa,ulipokuwa unauguza je wale wanaume wote walikukula?
Wanasemaga umri unaendana na hekima lakini mbona umekosa hata robo ya hekima?
Kuna kitu kitakuwa kimemtatiza na kwa coment ile atakuwa amepata relief.....si Aina yake ya uchangiaji
 
Aliuliza siku ya kuaga eti akifika kanisani muhimbili akiulizia msiba wa warumi ataonyeshwa?akakomaa pia tuweke picha.
Sikujibu kutokumvunjia heshima.
Lakini leo yeye kaja kumvunjia heshima odo.

Yani halafu kusudi kabisa.
Wafanye watu wengine ambao hawajui JF tuliishi vipi zamani.
Huyu?
Wa kushangaa mimi kuwa attached na emotional na kifo cha Warumi?
Nimemshangaa kwa kiwango cha ajabu sana.
Kwamba Warumi alinikula ndo mana namuomboleza?

Ahahahhahahahhah
Maisha yana mambo mengi sana lakin.
Huwezi jua, labda ana lingine alilokuwa analitaftia mahali pa Kuvent her anger on me.

Pengine ilimsaidia kujiskia poa.
 
Mimi nadhani alikuwa anatania..ila tu namna alivyowasilisha imeleta utata.
Sidhani kama yupo serious na hiyo comment.

Kama yupo siriaz basi atakuwa amenidisappoint sana maana ni moja kati ya dada/mama ninayemuheshimu sana hapa jukwaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee Saint Anne utani gani wa kuvunjiana heshima?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom